mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
Mmmh upande uliotulia ni ule wa bahama.770 kule uswaz aiseehapana 770 pande zilizotulia
Pole sana mkuu ila hii nyumba kwa bei hiyo hapana!.. mm kama dalali kwa nyumba hiyo mwisho 450,000 japo mm mwenye nyumba akiamua kuchukua 250k mm nitafurahi koz wateja hao wapo kibao.. ila nakuambia demand ya vyumba vitatu nikubwa.. hii haimalizi j2 jioni imeshaondoka
Demand kubwa ya nyumba iko Dodoma sasa hv sio Dar, unaishi kwa mazoea ww huendi na wakati.. Usawa huu wa Magu nani alipe nyumba hiyo 500k? Hii sio nyumba ya hela hiyo hata kidogo.. Pia huwezi pata mteja kwa location na nyumba hiyo ilivyo.. Hata Dodoma hiyo nyumba huwezi pata mteja kwa 500k labda 250k