House4Rent NYUMBA INAPANGISHWA

House4Rent NYUMBA INAPANGISHWA

saidaty

Senior Member
Joined
Oct 3, 2018
Posts
193
Reaction score
162
Bei ni sh. Laki 7 ( laki saba) kwa mwezi ilipwe miezi 6 ( miezi sita)
Nyumba inavyumba v3 vya kulala
Ina master bedroom
Ina sitting room
Ina dining
Ina kitchen
Ina public toilet
Ina tiles
Ina gypsum
Ina slide windows
Maji ya dawasco yanatoka mpaka ndani
Nyumba inajitegemea pekeake kwenye fensi
Kwa kila kitu...... NK......
Nyumba ipo Mkoa wa Dar es salaam Tanzania maeneo ya MBEZI BEACH MASANA upande wa juu ni dakika 3 ( dakika tatu) kutoka lami kuu ya bagamoyo load kwenda kwenye nyumba
Nyumba ipo mtaa mzuli sana na balabala yake ipo vizuli sana.




































































































+255717671240
KWAMAHITAJI YA NYUMBA VYUMBA KWAAJILI YA KUPANGA, NYUMBA ZA KUNUNUA VIWANJA MAGARI KWA BEI POA..... NK...... Dalali Papaa.tz.7 usisahau kumfolo istagram kalibuni sana.
IMG-20181109-WA0013.jpg
 
Mkuu hawa wenye nyumba muwaambie/muwashauri, nyinyi kama madalali wao, wabadilike.

Ni ngumu sana siku hizi kumdai mtu kodi ya miezi sita au mwaka. Ingawa ni kweli nyumba ni yake na hapangiwi, Lakini reality huku mtaani ni tofauti. Ni vema hata wakafanya miezi mitatu mitatu!

Tusifanye biashara kukomoana. Sheria ya kuwabana wapangishaji na wapangaji iko jikoni, Mh. Lukuvi anaiandaa. Kodi itakuwa ni mwezi mmoja mmoja. Na madalali itabidi mlipe kodi. In fact nchi nyingi duniani, kodi ni mwezi mmoja mmoja. Hii ya kulipa mwaka mzima ...ni Tanzania tuu na ni kwasababu zilikuwa hela nyingi za kifisadi mtaani. Sasa hivi JPM ametubana tuishi kwa jasho!

Wahusika wabadilike!
 
Back
Top Bottom