Ipo eneo la kivule matembele karibu na kanisa la Suguye, ina vyumba vitatu vya kulala na masterbed room Moja, imezungushwa ukuta ina maji ya uhakika na umeme! Bei ni tsh, laki mbili na Elfu hamsini kwa mwezi.tsh 250,000..
Mawasiliano tafadhari njoo inbox..View attachment 1370269View attachment 1370270
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina vyumba vitatuu vya kulala na master bedroom moja kwahiyo vyumba vya kulala ni vinne au katika hivyo vitatu Kuna master bedroom moja?