Nyumba inapangishwa...

Nyumba inapangishwa...

getrusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
2,150
Reaction score
1,822
Ipo eneo la kivule matembele karibu na kanisa la Suguye, ina vyumba vitatu vya kulala na masterbed room Moja, imezungushwa ukuta ina maji ya uhakika na umeme! Bei ni tsh, laki mbili na Elfu hamsini kwa mwezi.tsh 250,000..

Mawasiliano tafadhari njoo inbox..
IMG-20200218-WA0002.jpeg
IMG-20200218-WA0003.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kivule Dar es salaam. Kama Kilometer saba toka City Center na kilometer tatu tatu toka Airport.
Ipo eneo la kivule matembele karibu na kanisa la Suguye, ina vyumba vitatu vya kulala na masterbed room Moja, imezungushwa ukuta ina maji ya uhakika na umeme! Bei ni tsh, laki mbili na Elfu hamsini kwa mwezi.tsh 250,000..

Mawasiliano tafadhari njoo inbox..View attachment 1370269View attachment 1370270

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina vyumba vitatuu vya kulala na master bedroom moja kwahiyo vyumba vya kulala ni vinne au katika hivyo vitatu Kuna master bedroom moja?
 
Mkuu marekebisho kidogo ina masterbedroom mbili na ni chumba kimoja tu hakina choo cha ndani. Ina vyumba vitatu vya kulala . Kwa mawasiliano tafadhari tumia namba hii.. 0627552525
Ina vyumba vitatuu vya kulala na master bedroom moja kwahiyo vyumba vya kulala ni vinne au katika hivyo vitatu Kuna master bedroom moja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom