Mlayjr
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 550
- 335
Ipo kimara bucha, dakika moja kutoka barabarani, ipo ndani ya fence, ina mageti mawili, simtank lita 2000, vyumba 4 ( hakuna chumba self contained ), ina eneo kubwa kwa parking ( gari 10 ), haina tiles.
Bei 300,000/= tshs kwa mwezi, kodi miezi 6- mwaka, hela ya dalali 250,000/=tshs.
Mawasiliano 0754 050700 ( kuanzia saa tano asubuhi, kabla ya hapo usipige simu ). Asante.
Bei 300,000/= tshs kwa mwezi, kodi miezi 6- mwaka, hela ya dalali 250,000/=tshs.
Mawasiliano 0754 050700 ( kuanzia saa tano asubuhi, kabla ya hapo usipige simu ). Asante.