House4Rent Nyumba inapangiswa Mwanza

House4Rent Nyumba inapangiswa Mwanza

Python_

Member
Joined
May 30, 2021
Posts
16
Reaction score
11
Kama unahitaji nyumba ya kupanga mkolani Mwanza hujachelewa.

Ni nyumba yenye chumba kimoja cha kulala(Master) na sebule(Ipo ndani ya Geti), vyumba ni vikubwa, unalipia 120,000 kwa mwezi(kuanzia Miezi sita).

Umbali kutoka main road ni 1KM, karibu sana.

Kwa mawasiliano piga 0622071858
 
Back
Top Bottom