Nyumba inauza milion 40 maongezi yapo inavyumba 3 , dining , sebule, public toilet ana selfroom, fensi, maji, umeme, ipo msongola wilaya ya ilala

Nyumba inauza milion 40 maongezi yapo inavyumba 3 , dining , sebule, public toilet ana selfroom, fensi, maji, umeme, ipo msongola wilaya ya ilala

Msongola ipi, mwanzo wa lami, kanisani, ungindoni, sheli
 
Nakutakia biashara njema ndugu, ila watu wasione hio ilala waka babaika, msongola ni zaidi ya nje ya mji aisee.
 
Hiyo nyumba ya jirani akiezeka/akiweka paa, wakatu wa mvua maji yanatiririka kwako, naona ziko jirani sana siji atapaua vipi?.

Kiwanja kina ukubwa gani cha nyumba inayouzwa?
 
Back
Top Bottom