Bwana Yesu kristo asifiwe
Member
- Sep 9, 2024
- 21
- 45
Nyumba nzuri, kama haina mazonge basi atayenunua atakuwa kaokota dodo.
Hakuna my dear ni yangu mwenyewe. KaribuMsongola ipi, mwanzo wa lami, kanisani, ungindoni, sheli
Ni picha tu imeonyesha ukaribu afu siku hizi kuna gata zile za kukingia maji .. Tayari biashara ishaishaHiyo nyumba ya jirani akiezeka/akiweka paa, wakatu wa mvua maji yanatiririka kwako, naona ziko jirani sana siji atapaua vipi?.
Kiwanja kina ukubwa gani cha nyumba inayouzwa?
Amina tayari biashara ishaishaNakutakia biashara njema ndugu, ila watu wasione hio ilala waka babaika, msongola ni zaidi ya nje ya mji aisee.
Dodo aswa tayari biashara ishaishaNyumba nzuri, kama haina mazonge basi atayenunua atakuwa kaokota dodo.
Hujui hata Ubungo ilikuwa sawa na huko Msongola miaka kadhaa nyuma? Kwanza unawachukuliaje wanaopenda kukaa nnje kidogo ya Jiji?Msongola hakuna tofauti na kuishi Hungumalwa
Dar vijijini 😹🤣Nakutakia biashara njema ndugu, ila watu wasione hio ilala waka babaika, msongola ni zaidi ya nje ya mji aisee.
ThanksBiashara njema