Chanika ipo wilaya ya ilala unafuata barabara iendayo pugu ukifika pugu kuna junction kuna road moja inayoendelea kwenda kisarawe bomani na nyingine iendayo kusini ndiyo iendayo chanika kabla ya kufika chanika unapita tazara railways, kigogo fresh, kinyamwezi, kipawa mpya, buyuni, masantula hadi chanika mwisho, nyumba hii ipo hapahapa chanika mwisho karibu na kimwani shuleni vile ni umbali wa km 1 kutoka barabara kuu ya lami kwa wale wanaouliza kuhusu wasiwasi wa kupigwa x hilo haliwezekani kwa sababu nyumba iko kwenye eneo huru na kwa wale wapenzi wa madafu kuna minazi minne ipo ndani ya eneo na yote inazaa karibuni sana.