House4Sale Nyumba inauzwa Dodoma

House4Sale Nyumba inauzwa Dodoma

uroto

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2015
Posts
442
Reaction score
227
Habari wakuu,
  • Nyumba inauzwa, ina, vyumba 6 na uwanja robo hekta,
  • Ipo karibu na chuo cha Hombolo ambacho kinawanafunzi elfu 8+
  • Pia unaweza kuifanya hostel kwani imezungukwa na Hostels pia.
Price 12M na pungufu ipo.

No.0713716617.

20230322_080019.jpg
20230311_144757.jpg
 
MBONA UNAUZA RAHISI SANA AU MTU AKINUNUA ATAJUANA NA MISUKULE AU VIBWENGO
 
Back
Top Bottom