House4Sale Nyumba inauzwa East Africa Road Arusha (Muriet)

Fundi Lyimo

Member
Joined
Apr 21, 2023
Posts
5
Reaction score
4
Habari, kama kichwa cha habari kinavyojieleza...

•Nyumba ipo Muriet Mashariki, mita 200 kutoka barabara ya East Africa

Nyumba ina vyumba kumi, (single room) na ukubwa wa eneo ya nyumba ni  mita 20×15.

Nyumba ina umeme na maji yapo karibu ni ya kufuatilia.

Bei ni Tsh 35,000,000.

Kwa mwenye uhitaji awasiliane kwa watsapp au kupiga namba 255762085442
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…