House4Sale Nyumba inauzwa Goba jirani kabisa na barabara

House4Sale Nyumba inauzwa Goba jirani kabisa na barabara

Habari nyumba hii inauzwa ipo barabarani kabisa Goba million 58 tu karibu ujionee tupigie 0763542515

Ina vyumba vitatu na sebule umeme na maji vipo pia ina by quarter kwa nje kama una vijana vyumba vya nje viwili na choo vipo

Sehemu iliyobaki kubwa karibu ujionee hapa Goba au kwa Ulomi.

Mita 40 kutoka barabarani

View attachment 1680738View attachment 1680739View attachment 1680740View attachment 1680741View attachment 1680742View attachment 1680743View attachment 1680744View attachment 1680745View attachment 1680746
Kiwanja chote kina ukubwa gani?
 
Vijana mna dharau huenda hata kakibanda huna mbona mnaharibu hii platform jifunzeni utani sio mzuri
Mkuu nikufunze Kitu,

Acha Kila comment ijibu positively. Wengine wanakutoa kwenye reli unaweza kukuta Ni washindani wako kibiashara na sio wateja.

Watanzania tujifunze customer care. Kama Huyo ilibidi umuibu "Asante kwa maoni yako , karibu."
 
Asante mkuu labda sababu nipo kwenye vitu vingine ila sio huyo mmoja ukisoma quotes hapo nyingi zipo kitoto mpaka unajiuliza jukwaa kama hili watoto wanafanya nini haya ilipasa yatokee Facebook

Asante mkuu kwa maoni yako
 
Karibu sana ndugu tukupatie hii kazi nyumba ipo barabarani inahitajika pesa kwa uharaka kama ni dalali mawasiliano 0763542515
Hii kazi imekosa ushawishi mkuu.
Picha,maelezo na lugha iliyotumika ni kama vile 'bora liende'.

Kila la kheri lakini.
 
Asante mkuu labda sababu nipo kwenye vitu vingine ila sio huyo mmoja ukisoma quotes hapo nyingi zipo kitoto mpaka unajiuliza jukwaa kama hili watoto wanafanya nini haya ilipasa yatokee Facebook

Asante mkuu kwa maoni yako
Umeleta biashara kuwa mpole na maenye nidhamu. Mimi binafsi naona Bei ni kubwa sana ukilinganisha na nyumba ilivyo. Pia ungeweka ukubwa wa eneo ambalo ndio biashara kuu hapo hamna nyumba
 
Umeleta biashara kuwa mpole na maenye nidhamu. Mimi binafsi naona Bei ni kubwa sana ukilinganisha na nyumba ilivyo. Pia ungeweka ukubwa wa eneo ambalo ndio biashara kuu hapo hamna nyumba
Karibu kupaona ndugu yangu eneo ni kubwa sana na sio nyumba moja ipo na ya nje ambayo ina vyumba viwili na eneo
Linabaki
Na kiufupi hii barabara ni kubwa na ina malengo makubwa kama jicho lako la kesho nakuomba njoo upaone Muuzaji ndugu yangu taarifa zote za msingi zipo
 
Back
Top Bottom