nyumba inauzwa-haijaisha

nyumba inauzwa-haijaisha

upendo wandi

New Member
Joined
Jul 19, 2010
Posts
1
Reaction score
0
nyumba ni self contained vyumba 3 vya kulala, jiko na sebule
sh. 9mil inaweza kupungua
ipo mbezi juu karibu na baraza la mitihani
ukitaka kuiona wasiliana na namba 0756626298.
 
mimi naitaka kwa 7milion lakini utanihakikishia vipi kwamba hiyo nyumba sio mchanga wa macho na isije kuwa ni mtu mwingine?
ina hati na document nyingine?
 
Eneo limepimwa, otherwise hiyo sio biashara kwangu!
 
Je hapo ilipo nyumba ni sehemu ya ukubwa gani??Na je ina haki miliki na je kiwanjwa kimepimwa???Ungejibu ili tuweze kufanya biashara!
 
nyumba ni self contained vyumba 3 vya kulala, jiko na sebule
sh. 9mil inaweza kupungua
ipo mbezi juu karibu na baraza la mitihani
ukitaka kuiona wasiliana na namba 0756626298.

typical matangazo ya kibongo.....nyumba haijaisha.....iko stage gani??watu wako interested lkn kuna maswali mengi bila majibu.....
 
nyumba ni self contained vyumba 3 vya kulala, jiko na sebule
sh. 9mil inaweza kupungua
ipo mbezi juu karibu na baraza la mitihani
ukitaka kuiona wasiliana na namba 0756626298.

Pics plz people are serious if not you! Vitendo mkku, picha zikpo wapi??
 
Hiyo nyumba+kiwanja kwa mil 9??? Au unauza foundation??
 
Je hapo ilipo nyumba ni sehemu ya ukubwa gani??Na je ina haki miliki na je kiwanjwa kimepimwa???Ungejibu ili tuweze kufanya biashara!

Mkuu, 90% ya jiji la dar haijapimwa. kama unataka vilivyopimwa nenda boko na bunju ambako vimepimwa. Mbezi juu haijapimwa na ndiyo maana inauzwa 9ml. wasiwasi wangu ni kuwa hicho kiwanja ni 12X12m, maana kwa bei hiyo ni vigumu kupata hata kiwanja kilichopimwa hapa dar.
 
Thanks mkuu kwa kuweza kunifungua je huko Boko au bunju bei zake zinakuwaje ni hela nyingi sana au vipi??Ningefahau ingekuwa vizuri sana yaani
 
Back
Top Bottom