danikiruma
Senior Member
- Feb 25, 2019
- 101
- 76
Nyumba inauzwa maeneo ya Kigamboni gezaulole dsm Nyumba kubwa vyumba sita self nilijenga Nyumba hii kwa lengo la kupangisha ila mipango sio matumizi nikaishia njiani pesa imekata,sasa nimemua niuze bei ya kurudisha pesa yangu tu nibadirishe mazingira bei million nane mazungumzo yapo mawasiliano 0675196845/
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app