House4Sale Nyumba inauzwa hajakamilika

House4Sale Nyumba inauzwa hajakamilika

Fanya saba kaka tofali zilizotumika ni tofali 4000 ukisema ujenge Nyumba ya vyumba vitatu tofali zinabaki unajenga shimo la choose pia zinaweza kubaki pia kwa pembeni kuna kokoto kama nusu Lori hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa babu kwani huoni ameanza msingi kapandisha kidogo gema si ni nyumba hiyo
Mi nimeona kama tofali zimeshakosa uimara. Sijui kwa wengine ila mi hapo napiga hilo pagale chini naanza upya kiroho safi kabisa
 
Kuna tofali kama 4000 hivi kama unapiga chini ukajenga Nyumba ya vyumba3 self tofali zinaweza kubaki,msingi na ramani ya Nyumba ni kubwa sana na ndio maana picha nilipiga kwa mbali ili niweze kuipata yote pia nguzo ya umeme IPO jirani haizidi mita mbili umbali wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
gezaulole kubwa unashukia kituo gani? kiwanja kina ukubwa gani? ni km ngapi toka barabara kuu? nadhani haya yalikuwa maelezo ya msingi wakati wa tangazo lako ila bado hujachelewa unaweza ukajibu hapa
 
Panda gari za kimbiji unashuka kituo gezaulole sio mbali sana kutoka feli hapo kwenda ilipo site ni umbali wa kama kilomita moja au panda Pikipiki mwambie akupeleke kwa Mzee mpema bichi au nitafute kwenye namba 0675196845

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom