House4Sale Nyumba inauzwa!!! House for sale!!!

House4Sale Nyumba inauzwa!!! House for sale!!!

Amiry Kitimbu

Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
37
Reaction score
6
Nyumba ya kisasa yenye ubora wa hali ya juu ipo Mbagala Chamazi kituo cha Magengeni.

Nyumba ni mpya ipo karibu na barabara na huduma zote za jamii.

Nyumba ina documents zote.
Inauzwa Tsh.60 milion

kwa mawasiliano zaidi nitafute kwa number

[emoji390] 0714281410

[emoji621][emoji621][emoji621][emoji621][emoji621][emoji621][emoji621][emoji621][emoji621][emoji621][emoji621][emoji621][emoji621][emoji621][emoji621]
FB_IMG_1492607058911.jpg
FB_IMG_1492607063254.jpg
FB_IMG_1492607067563.jpg
FB_IMG_1492607071633.jpg
FB_IMG_1492607075501.jpg
FB_IMG_1492607080378.jpg
FB_IMG_1492607083977.jpg
FB_IMG_1492607088362.jpg
FB_IMG_1492607092480.jpg
FB_IMG_1492607096596.jpg
FB_IMG_1492607101513.jpg
FB_IMG_1492607108681.jpg
FB_IMG_1492607122453.jpg
FB_IMG_1492607127783.jpg
FB_IMG_1492607132188.jpg


~ Ina vyumba vinne vya kulala na master
~ Ina Servant cotter
~ Ina sitting room
~ Ina dinning room
~ Ina kitchen room
~ Ina parking area
~ Public toilet
 
Kwa hesabu za haraka haraka hapo kiwanja kina ukubwa wa mita 14 kwa 24m.
Naomba unisaidia square feets au metres za nyumba yenyewe hasa.
 
Hivi nani huwa anawashauri kuweka hizo half window kati ya jiko na dinning?? Hizo ni kwa ajili ya kwenye mahotel na migahawa ambapo mpishi na mhudumu wanafanya kazi sehemu tofauti, kwa nyumba za kuishi unatakiwa uweke mlango au opening.
 
Yani watu wa Mbagala, chamazi, mnapenda sana hayo marangi rangi... Sijui yananini...
Ha ha ha ha ha inawezekana mjanja wa kwanza kujenga huko aliweka hayo marangi!
 
Hivi nani huwa anawashauri kuweka hizo half window kati ya jiko na dinning?? Hizo ni kwa ajili ya kwenye mahotel na migahawa ambapo mpishi na mhudumu wanafanya kazi sehemu tofauti, kwa nyumba za kuishi unatakiwa uweke mlango au opening.
Kuna vitu vinachekesha sana!
 
Kiwanja kidogo, nyumba imejaa kiwanja kizima na bado wameweka fence ya ukuta, mbele tu ndio ukuta una ventilation! Hio nyumba lazima itakuwa na joto sana.
 
Gari inaingia hapa?

fb_img_1492607132188-jpg.498315
Teh teh teh mkuu hao kwa jina maarufu wanajulikana kama jenga uza,wao awangalii ubora wa kitu ila wao wanachoangalia pesa tu....mfuko mmoja wa cement matofali themanini(80).
 
Back
Top Bottom