Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kweli na siyo wote wanaofanya hivyo na ndiomana kabla ya kununua unatakiwa kufanya research...Hii ni biashara kama biashara zengine na hii inamaana mtu atayekua intersted atanunua na asiyetaka anaacha si basi!!!Teh teh teh mkuu hao kwa jina maarufu wanajulikana kama jenga uza,wao awangalii ubora wa kitu ila wao wanachoangalia pesa tu....mfuko mmoja wa cement matofali themanini(80).
Nitafute 0714281410Punguza bei ndugu maana magu kashika watu
Si unajua waswahili wanasema kimfaacho mtu ni chakeNi nzuri sijui kwa nini anauza
Daaah!!! ndugu umejitahidi sana kutoa kasoro na kukosoa ilhali ni biashara na haujahakiki hayo yote unayoyasema.Nyumba umeiona kwa picha hujaiona live, its not fair ni kuharibiana biashara.Kiwanja kidogo, nyumba imejaa kiwanja kizima na bado wameweka fence ya ukuta, mbele tu ndio ukuta una ventilation! Hio nyumba lazima itakuwa na joto sana.
Acha hasira mkuu, mitaa hiyo yenu mmekuwa maarufu kwa biashara za "jenga uza" ubora haupo, yaani hata mtoto akipiga konzi tofali linachanika.Si kweli na siyo wote wanaofanya hivyo na ndiomana kabla ya kununua unatakiwa kufanya research...Hii ni biashara kama biashara zengine na hii inamaana mtu atayekua intersted atanunua na asiyetaka anaacha si basi!!!
Nimependa tu kukuuliza kuhusu hii nyumba umeshaiona? Kama hujaiona njoo uione kisha mchukue mtoto aipige konzi then u will get da answerAcha hasira mkuu, mitaa hiyo yenu mmekuwa maarufu kwa biashara za "jenga uza" ubora haupo, yaani hata mtoto akipiga konzi tofali linachanika.
Samahani kama unaona nimekuharibia biashara.Daaah!!! ndugu umejitahidi sana kutoa kasoro na kukosoa ilhali ni biashara na haujahakiki hayo yote unayoyasema.Nyumba umeiona kwa picha hujaiona live, its not fair ni kuharibiana biashara.
Rangi tuu imenichoshaYani watu wa Mbagala, chamazi, mnapenda sana hayo marangi rangi... Sijui yananini...
Hakuna hivyo vitu,ipo chamazi haufiki mbandeHakuna mizimu ya ki mbagala/chamazi kwenye hicho kiwanja..???nyumba ipo barabara ya kwenda wapi..???.Msongole..Mvuti .....Mbande..au Mkuranga..??
sawa karibuHaya tutakutafuta