Amiry Kitimbu
Member
- Feb 6, 2017
- 37
- 6
45-80 ftUkubwa wa kiwanja ni ngapi kwa ngapi kaka
45 - 80 ft
Sidhan chek mahesabu yako vema45-80 ft
Hapana ndugu haina mgogoroKaka haina mgogoro?
upo sahihi ni 350 square metersKwa hesabu za haraka haraka hapo kiwanja kina ukubwa wa mita 14 kwa 24m.
Naomba unisaidia square feets au metres za nyumba yenyewe hasa.
HahahaYani watu wa Mbagala, chamazi, mnapenda sana hayo marangi rangi... Sijui yananini...
Ha ha ha ha ha inawezekana mjanja wa kwanza kujenga huko aliweka hayo marangi!Yani watu wa Mbagala, chamazi, mnapenda sana hayo marangi rangi... Sijui yananini...
Kuna vitu vinachekesha sana!Hivi nani huwa anawashauri kuweka hizo half window kati ya jiko na dinning?? Hizo ni kwa ajili ya kwenye mahotel na migahawa ambapo mpishi na mhudumu wanafanya kazi sehemu tofauti, kwa nyumba za kuishi unatakiwa uweke mlango au opening.
Ungeweka hivyo vipimo eneo kwa mita ingeeleweka zaidi.45 - 80 ft
Si unajua watu wa Dar jinsi walivyo na mbwembwe!Yani watu wa Mbagala, chamazi, mnapenda sana hayo marangi rangi... Sijui yananini...
Teh teh teh mkuu hao kwa jina maarufu wanajulikana kama jenga uza,wao awangalii ubora wa kitu ila wao wanachoangalia pesa tu....mfuko mmoja wa cement matofali themanini(80).Gari inaingia hapa?