Nyumba inauzwa ipo banguro Ulongoni b, Dar es salaam

Nyumba inauzwa ipo banguro Ulongoni b, Dar es salaam

ProsStz

Member
Joined
Aug 26, 2018
Posts
22
Reaction score
2
Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja kikiwa ni master, dining, sebule stoo na jiko, wakati kwa nje iko na baraza mbili ya mbele na nyuma...kutoka gongo la mboto nauli ya bodaboda ni 1000, sio mbali
Wasiliana na mimi 0762068839 au 0658339930. Baadhi ya vyumba viko na tiles karibu sana
tapatalk_1537630739584.jpeg
tapatalk_1537630746315.jpeg
 
Nyumba bado ipo, mnakaribishwa kwa mazungumzo zaid
 
Back
Top Bottom