Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja kikiwa ni master, dining, sebule stoo na jiko, wakati kwa nje iko na baraza mbili ya mbele na nyuma...kutoka gongo la mboto nauli ya bodaboda ni 1000, sio mbali
Wasiliana na mimi 0762068839 au 0658339930. Baadhi ya vyumba viko na tiles karibu sana