House4Sale Nyumba inauzwa ipo Goba, bei ni Million 550

House4Sale Nyumba inauzwa ipo Goba, bei ni Million 550

Dalali_wa_kimataifa

Senior Member
Joined
Apr 16, 2025
Posts
182
Reaction score
176
Inauzwa ghorofa yenye vyumba vinne vyote master, sebule mbili (chini na juu), jiko kubwa, sehemu ya kulia chakula (dining), stoo na choo cha wageni.

Ipo Goba Lastanza, umbali wa mita 300 tu kutoka barabara ya lami.

Eneo lina ukubwa wa sqm 900 na lina hati miliki.

Bei ni milioni 550.

Piga au tuma ujumbe WhatsApp kwa +255 758 844 717.


 
Back
Top Bottom