House4Sale Nyumba inauzwa ipo Goba kwa Mama Chacha. 1.2km kutoka Goba Centre

sajo

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
3,474
Reaction score
6,195
Nyumba ya vyumba 3 vya kulala na sebule, ipo ndani ya fensi. Inahitaji marekebisho machache.

Uwanja una ukubwa wa 20m x 18m, hauna hati ila kuna mkataba wa mauziano ya kiwanja. Maji ya DAWASA na umeme vipo nje ya nyumba, Huhitaji nguzo, kunafikika vizuri kabisa. Neighbourhood ni nzuri, usafiri mpaka barabarani ni buku tu ya pikipiki au unatembea tu kwa mguu maana ni 1.2km kutoka barabarani.


Your browser is not able to display this video.


Bei yake ni Tshs. Milioni 35. Wasiliana nami kwa 0757914348.
 
Sorry kuna picha inaonyesha kama imetoboka kunani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…