House4Sale Nyumba inauzwa ipo karibu na barabara (Ukonga, Banana)

Acha utapeli mkuu hapo Ukonga banana nyumba zote Za barabarani zinaondolewa kupisha SGR
 
nimekufuata??? Hapana

Mimi ni mbaya haswa alhamdulillah Allah hakunikosea kuniumba
Yani kwa jinsi ulivyo mbaya,natamani nikuweke kwenye jumba la maonyesho ili watu waje wajionee mwanamke mbaya Tz nzima!
 
hakuna ubaya, kaniweke tu moyo wako upoe
 
Acha utapeli mkuu hapo Ukonga banana nyumba zote Za barabarani zinaondolewa kupisha SGR
Hakuna utapeli mkuu,hiyo nyumba haipo karibu sana na barabara ki hivyo,yani kwa ujumla haipo kwenye list ya nyumba za kuvunjwa!
 
Back
Top Bottom