Tangazo hilo halijakamilika, ukubwa wa eneo hujasema linalobaki, pia mtu angependa kujua kama hapo hiyo ni nyumba au atahitaji kubomoa aanze upya kama kaeneo ni kadogo. Picha pia inarahisisha baadhi ya maswali