impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
- Thread starter
- #61
Mkuu usiogope nyumba haina denibuyer be aware hilo ndio la msingi kuna jamaa yangu kanunua nyumba ambayo jamaa kaweka bond saccos baada ya kuuza mdaiwa kaacha lipa mkopo kufumba na kufumbua mnada huo jamaa pressure ipo juu sana kwa sasa