Mkuu usiogope nyumba haina denibuyer be aware hilo ndio la msingi kuna jamaa yangu kanunua nyumba ambayo jamaa kaweka bond saccos baada ya kuuza mdaiwa kaacha lipa mkopo kufumba na kufumbua mnada huo jamaa pressure ipo juu sana kwa sasa
Huyo fundi aliyekuwekea tiles chooni ulimlipa???Mkuu nikienda site ntapiga picha niweke nyumba ni mpya