House4Sale Nyumba inauzwa ipo mtaa wa Kangaye -Nyakato Mwanza

House4Sale Nyumba inauzwa ipo mtaa wa Kangaye -Nyakato Mwanza

BMCtz69

New Member
Joined
Jun 30, 2022
Posts
4
Reaction score
3
Nyumba ipo mtaa wa kangaye kata ya nyakatNYUMBA INAUZWA IPO MTAA WA KANGAYE-NYAKATO-MWANZAo-mwanza ipo karibu na shule ya secondary KANGAYE, ina vyumba 3 na sebule, Ndani Kuna lipu na Bomba za wire ring ya umeme, Pamepimwa Umeme na maji havijaingia Ndani vipo jirani,karibu ukague.

Bei [emoji117] million 23.

{Kazi zangu sio za kubabaisha mteja wangu hivyo usiogope kama upo serious njoo ukague tukae mezani}

Unapata changamoto unapotaka kuuza au kununua Nyumba, Kiwanja au Shamba? Wasiliana nami hivi sasa.

ZINGATIA: kama utafuta uwe ni mteja (muhusika mkuu) na kama unauza uwe ni mmiliki.

Wasiliana nami kupitia [emoji116]

[emoji338] +255678606660

[emoji391] Email:[emoji117] bmchapakazi@gmail.com
IMG_20230622_171654_592.jpg
IMG_20230622_171841_427.jpg
 
Back
Top Bottom