House4Sale Nyumba inauzwa, ipo mtoni Kijichi, bei ni milioni 650

6- ROOMS (4-MASTER BEDROOMS)

MTONI-KIJICHI USHUANI

GHOROFA INAUZWA BEI;

MILLIONI 650 SQM 1.500
πŸ‡ΉπŸ‡ΏCall/WhatsApp +255758844717

#houseforsale #tiles #realestate #tanzania
 

Attachments

  • Polish_20260720_134328538.jpg
    198.2 KB · Views: 18
Ila bongo banaa sasa mimi nitoe milioni 650 nikanunue nyumba Kijichi kweli? Wakati hii pesa nikiibadilisha kwenye dollars naweza nunua nyumba nzuri kabisa zenye kila kitu popote pale duniani tena kwenye ma beach ya nguvu . Niende Kijichi huko maji ya kisima, umeme wa kuunga unga no AC yaani ni li jengo tu hilo. Alieijenga hii huko nafikiri ana shule ndogo hakuzingatia Location na vitu vingine basics kabisa. Labda, washamba wa Katoro wanaweza ingia kingi haahahaa.
 
Kwa huu mjengo 650M ni dusko mno imekua bei kitonga tu sababu ya location maqna maeneo mengine hio hela ya kiwanja tu nadhan hauna uzoefu na beach plots masta chief
 
 
Kwa huu mjengo 650M ni dusko mno imekua bei kitonga tu sababu ya location maqna maeneo mengine hio hela ya kiwanja tu nadhan hauna uzoefu na beach plots masta c

Kwa huu mjengo 650M ni dusko mno imekua bei kitonga tu sababu ya location maqna maeneo mengine hio hela ya kiwanja tu nadhan hauna uzoefu na beach plots masta chief
Unatishwa na alivyojenga au?? Nyumba sio matofali na masementi ni location na vitu basics. Sasa kwa hio pesa hapo nchi za Mexico, visiwa vya Carribean , Greece au Turkey na hata Dubai unapata bonge la nyumba tena si mbali sana toka beach na lina kila kitu hadi AC. Bongo watu wanajipangia tu bei za nyumba hawajui kuhusu vitu muhimu kwenye nyumba ni nini. Hapo ni sawa na fuko la milioni 650 umelitumbukiza baharini maana hio pesa hutairudisha hata kwa miaka 50 ijayo ukisema uuze au ufanye biashara.
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
6- ROOMS (4-MASTER BEDROOMS)

MTONI-KIJICHI USHUANI

GHOROFA INAUZWA BEI;

MILLIONI 650 SQM 1.500
πŸ‡ΉπŸ‡ΏCall/WhatsApp +255758844717

#houseforsale #tiles #realestate #tanzania
Haujanipeleka Mtoni Kijichi hata kwa bunduki, thamani ya nyumba imeshushwa na location iliyopo hiyo nyumba.
 
Kijichi kuna majumba ya kufa mtu! Hili ni cha mtoto
 
Hiyo hela naenda Jenga zangu mapinga au Kigamboni huku nafuga na mbuzi, nguruwe, na kuku na furahia asili mimi baadhi ya nyumba zinahitaji uwe na pesa kuziboresha kila mara
TΓ ngazo hili ni kwa wenye fedha kubwa, siyo wewe pangu pakavu. The advert is not meant for you!πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…