El Mincho
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 2,207
- 4,953
Nooo siwezi ishi Kijichi, Hio pesa naenda zangu Cape Verde au Cartagena kuishi na wabebezz .Huna hela nyamaza! ... acha kutibua dili la wanaume!
Nooo siwezi ishi Kijichi, Hio pesa naenda zangu Cape Verde au Cartagena kuishi na wabebezz .Huna hela nyamaza! ... acha kutibua dili la wanaume!
Yes, Greece, Turkey and Dubai unanunua property nzuri kabisa ina kila kitu na chenji inabaki ya kutumia. Tena huko gulf hizo property zimeshuka bei balaa unapata hadi 150k USD na unabaki na chenji ya kununulia kausafiri, na nchi ina security hauwezi tekwa tekwa hovyo na kina mafwele.250K USD!? 🙄
Kuna jamaa kanishangaza sana mimi pia nilikua na mawazo kama yake mpaka nilipofikq huko mwaka huu uko wamejenga wezi aseeKijichi ni kama Masaki and the like! Walipima viwanja eka moja moja, ni watu wenye fedha wanajenga huko.... PS, Mawziri wezi, na wengine wezi wakubwa serikalini wamejenga maghorofa ya kufa mtu! Nenda katembee....just to confirm that!
kumejengwa majuba ya kifahari! mimi during early 2010s nilitafuta kiwanja kule, ilikuwa bei mbaya nikashindwa, viwanja vikubwa eka moja! kidogo nuse eka...... nikaopt kwenda mbande nikapata eka 5 kwa hela ya sqm 600 Kijichi wakati huo! ie hela niliyonunua eka 5 Mbande ilitosha kununua labda sqm 600 (20 x30) KijichiKuna jamaa kanishangaza sana mimi pia nilikua na mawazo kama yake mpaka nilipofikq huko mwaka huu uko wamejenga wezi asee
Kwanza unajua ukisimama pale daraja la kigamboni upande wa mkabala na bandari ni kijichi na pana ufukwe kama ulipotaja nyumba unazoenda kununua laa mujibu wa majigambo yakoIla bongo banaa sasa mimi nitoe milioni 650 nikanunue nyumba Kijichi kweli? Wakati hii pesa nikiibadilisha kwenye dollars naweza nunua nyumba nzuri kabisa zenye kila kitu popote pale duniani tena kwenye ma beach ya nguvu . Niende Kijichi huko maji ya kisima, umeme wa kuunga unga no AC yaani ni li jengo tu hilo. Alieijenga hii huko nafikiri ana shule ndogo hakuzingatia Location na vitu vingine basics kabisa. Labda, washamba wa Katoro wanaweza ingia kingi haahahaa.
Atakua ana chrismas chache sana apa dar es salaam vijijiniKwanza unajua ukisimama pale daraja la kigamboni upande wa mkabala na bandari ni kijichi na pana ufukwe kama ulipotaja nyumba unazoenda kununua laa mujibu wa majigambo yako
Sio kwamba kijichi sikujui , nilishawahi mpangishia mchepuko jumba zuri huko, ila tofauti ni kua mie nilipokulia na ninapoishi kwa sasa New Mexico, siwezi kwenda weka 650m kununua nyumba kule. Kijichi kule si unaingilia hapo Mtoni kwa Aziz Ali unakunja ndani ndani ndio unatokea Kijichi. Nakufahamu sana kule. Kwa hio pesa siwezi ishi kule asilan. Never.Kwanza unajua ukisimama pale daraja la kigamboni upande wa mkabala na bandari ni kijichi na pana ufukwe kama ulipotaja nyumba unazoenda kununua laa mujibu wa majigambo yako
Kaja na lori la ndiziAtakua ana chrismas chache sana apa dar es salaam vijijini
Kwahiyo Kijichi unaingilia Mtoni kwa Azizi Ali? Haya sawaSio kwamba kijichi sikujui , nilishawahi mpangishia mchepuko jumba zuri huko, ila tofauti ni kua mie nilipokulia na ninapoishi kwa sasa New Mexico, siwezi kwenda weka 650m kununua nyumba kule. Kijichi kule si unaingilia hapo Mtoni kwa Aziz Ali unakunja ndani ndani ndio unatokea Kijichi. Nakufahamu sana kule. Kwa hio pesa siwezi ishi kule asilan. Never.
Google map wamempa coordinations za uongo ili qje adhalilikeKwahiyo Kijichi unaingilia Mtoni kwa Azizi Ali? Haya sawa
🤣sidhani hata google map inaweza kufanya ufala kama huuGoogle map wamempa coordinations za uongo ili qje adhalilike
Sijadhalilika, nakufahamu huko inawezekana kuna njia nyingi za kuingilia huko. Swali la msingi, Je sio kipande ile?? Wilaya ya Temeke ?? na udongo wake kule mchanga mchanga sio mfinyanzi ?? Labda hio Kijichi ingine ila mie upande ule hunipeleki kwa 650m. Hata kwa makombola.Never.Google map wamempa coordinations za uongo ili qje adhalilike