Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,835
- 8,703
Huna hela nyamaza! ... acha kutibua dili la wanaume!Ila bongo banaa sasa mimi nitoe milioni 650 nikanunue nyumba Kijichi kweli? Wakati hii pesa nikiibadilisha kwenye dollars naweza nunua nyumba nzuri kabisa zenye kila kitu popote pale duniani tena kwenye ma beach ya nguvu . Niende Kijichi huko maji ya kisima, umeme wa kuunga unga no AC yaani ni li jengo tu hilo. Alieijenga hii huko nafikiri ana shule ndogo hakuzingatia Location na vitu vingine basics kabisa. Labda, washamba wa Katoro wanaweza ingia kingi haahahaa.
Ndiyo mkuu 😂😅😀😃😁😂 just utani
Dogo huna kitu, acha mipango hewaHiyo hela naenda Jenga zangu mapinga au Kigamboni huku nafuga na mbuzi, nguruwe, na kuku na furahia asili mimi baadhi ya nyumba zinahitaji uwe na pesa kuziboresha kila mara
Nimesema nina hela bro??Dogo huna kitu, acha mipango hewa
Najua huna, tulia 😁Nimesema nina hela bro??
Punguza ushauri, hujaulizwaUnatishwa na alivyojenga au?? Nyumba sio matofali na masementi ni location na vitu basics. Sasa kwa hio pesa hapo nchi za Mexico, visiwa vya Carribean , Greece au Turkey na hata Dubai unapata bonge la nyumba tena si mbali sana toka beach na lina kila kitu hadi AC. Bongo watu wanajipangia tu bei za nyumba hawajui kuhusu vitu muhimu kwenye nyumba ni nini. Hapo ni sawa na fuko la milioni 650 umelitumbukiza baharini maana hio pesa hutairudisha hata kwa miaka 50 ijayo ukisema uuze au ufanye biashara.
😀 😀 😀 😀
Kijichi ni kama Masaki and the like! Walipima viwanja eka moja moja, ni watu wenye fedha wanajenga huko.... PS, Mawziri wezi, na wengine wezi wakubwa serikalini wamejenga maghorofa ya kufa mtu! Nenda katembee....just to confirm that!Kutoa milioni 600 kwa maeneo ya Mbagala ni kipengele sana ndugu yangu hiyo angalau ingekuwa maeneo ya Kinondoni au Sinza hapo sawa.
Na si kwamba tunaipondea biashara yako ila tunaongelea uhalisia wa kibiashara
Masaki kiwanja bilion sasa na 650m utafanya nini mkuu au location unamaanisha nini au unadhan beach plot ni milion 12m ,naheshimu sana matofali baada ya kuzika milion kadhaa kwenye msingi tu since then naheshimu sana waajenga maghorofaUnatishwa na alivyojenga au?? Nyumba sio matofali na masementi ni location na vitu basics. Sasa kwa hio pesa hapo nchi za Mexico, visiwa vya Carribean , Greece au Turkey na hata Dubai unapata bonge la nyumba tena si mbali sana toka beach na lina kila kitu hadi AC. Bongo watu wanajipangia tu bei za nyumba hawajui kuhusu vitu muhimu kwenye nyumba ni nini. Hapo ni sawa na fuko la milioni 650 umelitumbukiza baharini maana hio pesa hutairudisha hata kwa miaka 50 ijayo ukisema uuze au ufanye biashara.
😀 😀 😀 😀
Kwani unadhaniIla madalali bhaana, usikute hapo kaweka milion 100 ya kwake.
Hili linajulikana shida ni geographic location.Kijichi ni kama Masaki and the like! Walipima viwanja eka moja moja, ni watu wenye fedha wanajenga huko.... PS, Mawziri wezi, na wengine wezi wakubwa serikalini wamejenga maghorofa ya kufa mtu! Nenda katembee....just to confirm that!
nakubali geographic location dictates the status and price, but with time and infrastructure development Kijichi is gaining the anticipated status!Hili linajulikana shida ni geographic location.
Yaani kwa mfano nyumba kama hiyo iwe maeneo ya mbweni chap tu muhamala unaingia.
Ngj nikutumie lipa namba umalize mzee 😂Najua huna, tulia 😁
No hiyo ni kesi tofauti hapa hatuongelei about sehemu ni mbali au porini hapa tunaongelea side.nakubali geographic location dictates the status and price, but with time and infrastructure development Kijichi is gaining the anticipated status!
Mimi ni mhenga! Wakati Sinza inapimwa, tulikataa kupata viwanja kwa bei ya bure ikiwa porini and its geographic location! Leo sinza ni kwa WAJANJA AND PRIME AREA! NAJUTA KUACHA KUCHUKAU HATA VIWANJA 10 MAANA NILIKUWA NA UWEZO KWA MSHAHARA WANGU.............................
No hiyo ni kesi tofauti hapa hatuongelei about sehemu ni mbali au porini hapa tunaongelea side.
Hivi unajua kuwa yako maeneo huko kibaha au Bagamoyo yana market kubwa kuliko baadhi ya maeneo yaliyopo Dar?hiyo ndio impact ya geographic location sasa hicho unachokisema wewe hakitatokea labda serikali kupitia mipango miji waamue kuvunja nyumba zote zilizopo kisha waanze kujenga upya sasa hiyo sio leo wala kesho labda miaka 200 ijayo
Umefika Kijiche? Kule ambako serikali ilipoma viwa ja ekari moja kila kiwanja? Kwani Masaki and the like hakina vi squattersNo hiyo ni kesi tofauti hapa hatuongelei about sehemu ni mbali au porini hapa tunaongelea side.
Hivi unajua kuwa yako maeneo huko kibaha au Bagamoyo yana market kubwa kuliko baadhi ya maeneo yaliyopo Dar?hiyo ndio impact ya geographic location sasa hicho unachokisema wewe hakitatokea labda serikali kupitia mipango miji waamue kuvunja nyumba zote zilizopo kisha waanze kujenga upya sasa hiyo sio leo wala kesho labda miaka 200 ijayo
Nasemaje hata kwa makombola na ma drone hunipeleki kijichi kwa 650 million bora nife kabisa, hio pesa nanunua bonge la nyumba lenye kila kitu huku mamtoni, lenye driveway nzuri, parking ya kutosha, garage. basement na umeme/maji bweleleee. Eti nikaweke pesa yangu Kijichi huko, barabara zenyewe mahandaki matupu, maji/umeme wa kuungaunga noooooo.Masaki kiwanja bilion sasa na 650m utafanya nini mkuu au location unamaanisha nini au unadhan beach plot ni milion 12m ,naheshimu sana matofali baada ya kuzika milion kadhaa kwenye msingi tu since then naheshimu sana waajenga maghorofa