Nyumba inauzwa ipo Sinza Kijiweni bei milioni mia nne tu

Nyumba inauzwa ipo Sinza Kijiweni bei milioni mia nne tu

PHOTO

Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
60
Reaction score
11
NYUMBA inauzwa ipo SINZA Kijiweni bei milioni mia nne tu (400) namba ya simu ya Mhusika hii hapa 0718-462515
 
toa maelezo ya kutosha kuhusu hiyo nyumba!
 
bora usiweke tangazo bora ulifute tu halina maaana picha hamna na wewe ni nani dalali au ndio mmliki
 
ml 400! kisa nyumba iko dsm! bora kukaa nazo hizo hela na kufanya biashara ukiwa kijijini kalya au nantona
 
NI NYUMBA ipo pembezoni mwa barabara ya Shekilango pia kuna fremu za biashara katika nyumba hiyo hiyo ! Kama una hela ya kununua au kuna mtu unaemjua na anahitaji piga namba hiyo ya mhusika 0718-462515
 
toa maelezo ya kutosha kuhusu hiyo nyumba!

NYUMBA ipo pembezoni mwa barabara ya Shekilango pia kuna fremu za biashara katika nyumba hiyo hiyo ! Kama una hela ya kununua au kuna mtu unaemjua na anahitaji piga namba hiyo ya mhusika 0718-462515
 
mmmmh pembezoni mwa Barbara na waziri mwenyewe huyuhuyu magufuli

umenfurahisha sana nkakumbuka kaul yake moja anasema "nyie jengen kwa wale wabish pitisha barabara kwa baraza zao km wameenda mahakan bhas naamin ipo sku roli litapotea njia litazgonga tu" yule mtu hafai na roho yake
 
nyumba yenywe imepimwa na ina hati sasa huyo atakae kuja kukuvunjia kiwanja ambacho kiko kwenye ramani ya jiji ni nani ????? Kama ni hivyo basi pale kariakoo nyumba zote zitavunjwa kwa maana zote zipo barabarani .
 
mmmmh pembezoni mwa Barbara na waziri mwenyewe huyuhuyu magufuli

nyumba yenywe imepimwa na ina hati sasa huyo atakae kuja kukuvunjia kiwanja ambacho kiko kwenye ramani ya jiji ni nani ????? Kama ni hivyo basi pale kariakoo nyumba zote zitavunjwa kwa maana zote zipo barabarani .
 
Mita ngapi kutoka barabarani?

IKO MITA SITINI KUTOKA BARABARANI
. Kama una hela ya kununua au kuna mtu unaemjua na anahitaji piga namba hiyo ya mhusika 0718-462515
 
millioni mia 4 ukishainunua
kila kitu kipo ndani??
utaaudumiwa chakula na mambo mengine yote
hiyo nyumba imejengwa kwa material gani???
au ni ya kiswahili tu imekaa kikanjanja kanjanja
sio ile nyimba inazingirwaga na maji hapo sinza???
ina uzio??

TOA MAELEZO YA KUTOSHA KAMA ULIONA SHIDA
UNGEABANDIKA KIBAO KWENYE NGUZO ZA UMEME UWEKE NA NAMBA KAMA WAGANGA WA MIKUYATI
MAANA HAPA HAMNA TOFAUTI NA VILE VIBAO
 
weeeee nenda Kariakoo uone, nyumba inafika hadi milioni mia nane (800)

800 hupati tena mkuu zinacheza kwenye bil na usheee

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom