House4Sale Nyumba inauzwa ipo Tanga mjini

House4Sale Nyumba inauzwa ipo Tanga mjini

maurice99

Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
43
Reaction score
29
Nyumba inauzwa ipo tanga mjini maeneo ya usagara ipo karibu na barabara.
  • Ina vyumba sita (6)
  • Sebule
  • Choo ndani
  • Fremu moja ya biashara
  • Maji + Umeme
Total Square meter (660)..Bei ni milioni sabini na tano {75,000,000} pia mazungumzo yapo.Kwa mteja Serious nicheki kupitia namba 0763316426 pia ina hati miliki kubwa.
246909c4a9814192b2c3028e10c6910f25704d33.jpeg
ac7a4838dda764f2930c066348a838964e6d403a.jpeg
5dbe2173ba55436fcae9996cc9d1d5947c890e44.jpeg
6be786f3b18e560c16c7d372f9d064c980d3181e.jpeg
63f31b153944e155ad0499c7c00b7a67de83b455.jpeg
d8374da5ef4d9db51e75ec1edff9233b3625f7ea.jpeg
 
Hii nyumba naipata ipo karibu na railway opposite na mnara nadhani wa vodacom.. Kuna jamaa yangu mmoja school mate anaitwa Moses Kihampa alikuwa ndo home kwao hapo!
 
[emoji23] nyumba kama hizi nilazima ukazikague kipindi cha masika maana hichi ni kipindi cha kiangazi lakini inaonekana kulikuwa na bwawa kwa nnje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom