Mahole
JF-Expert Member
- May 17, 2018
- 682
- 924
Hiyo nyumaba ipo bondeni hata baraza inaonyesha na ndio maana hapo barazani sehemu ya kuingilia imeinuliwa kuzuia maji yasiingiemkuu ni nyumba yangu na hakuna udalali wowote
Sent using Jamii Forums mobile app