Nyumba inauzwa ipo tanga mjini maeneo ya usagara ipo karibu na barabara.
Ina vyumba sita (6)
Sebule
Choo ndani
Fremu moja ya biashara
Maji + Umeme
Total Square meter (660)..Bei ni milioni sabini na tano {75,000,000} pia mazungumzo yapo.Kwa mteja Serious nicheki kupitia namba 0763316426 pia ina hati miliki kubwa.
Hii nyumba naipata ipo karibu na railway opposite na mnara nadhani wa vodacom.. Kuna jamaa yangu mmoja school mate anaitwa Moses Kihampa alikuwa ndo home kwao hapo!