Milioni sabini na tano ni sawa na matofali elfu 70 ya block. Hii yako haijatumia hata tofali elfu kumi.
Bati za ALAF mpya ni Tsh 12,000 kwa mabati mia ni Tsh 1,200,000. Hii bei ya milioni 75 unaitoa wapi?
Nyumba inauzwa Dodoma Area C *Fremu Nne (4)
*Rooms Tano (5)
*sebule
*Store
*Choo & bafu (Ndani)
*Vyumba vya nje vitatu (3)
*Total SQ 420
Note:-Ina Hati miliki. Piga simu or Whatsapp 0763316426
NOTE...Hakuna udalali