Nyumba inauzwa Kariakoo,bei ni billion 7.8,maongezi yapo

Joined
Apr 10, 2025
Posts
40
Reaction score
44
GHOROFA INAUZWA
IPO KARIAKOO DARESSALAAM🇹🇿

Underground, floor 1 and 2

▶Maduka yako kama 60
▶Inaingiza million 600 na kitu kila mwaka


BEI NI BILLIONS 7.8,MAONGEZI YAPO


🇹🇿CALL/WhatsApp +255758844717


#viral #tanzaniantiktok🇹🇿 #daressalaam🇹🇿 #houseforsale #realestate

 

Attachments

  • Polish_20260601_161720822.jpg
    140.9 KB · Views: 19
  • IMG-20260601-WA0130.jpg
    60.8 KB · Views: 19
  • IMG-20260601-WA0131.jpg
    54.8 KB · Views: 18
  • IMG-20260601-WA0129.jpg
    51 KB · Views: 19
  • IMG-20260601-WA0125.jpg
    50.5 KB · Views: 16
  • IMG-20260601-WA0127.jpg
    60.7 KB · Views: 17
  • IMG-20260601-WA0126.jpg
    74.3 KB · Views: 23
  • IMG-20260601-WA0124.jpg
    49.2 KB · Views: 24
Billion 7.8 ni pesa ndefu mno
Wataalam watakwambia ''ni Kariakoo hiyooo..''. Kinachofanya Kariakoo nyumba/viwanja viwe bei kubwa ni biashara. Ila mimi huwa nahisi kuna siku Kariakoo inaweza kufa kibiashara.
 
Wataalam watakwambia ''ni Kariakoo hiyooo..''. Kinachofanya Kariakoo nyumba/viwanja viwe bei kubwa ni biashara. Ila mimi huwa nahisi kuna siku Kariakoo inaweza kufa kibiashara.
Hadi Leo Kuna machimbo mengi tu unapata bidhaa hata bei chini ya Kariakoo.
Kariakoo wanaenda washamba wanaokariri
Kuna matajiri wana stocks huko Tegetq, Mbagala, Temeka na bei chini
 
Hadi Leo Kuna machimbo mengi tu unapata bidhaa hata bei chini ya Kariakoo.
Kariakoo wanaenda washamba wanaokariri
Kuna matajiri wana stocks huko Tegetq, Mbagala, Temeka na bei chini
Kuna siku nilienda Mbagala Rangi 3, kwa jinsi biashara za pale zilivyochangamka still nilikuwa nashangaa kuna haja gani wakazi wa Mbagala kwenda Kariakoo kununua vitu
Kama kuna vitu havipo Mbagala basi ni vichache sana, ndio kwenda kuvisaka huko Kariakoo lakini 90% ya vitu vya msingi vipo palepale Zakhiem
 
Hakika
Me Kuna jamaa jamaa angu ana duka la vifaa vya electrics Kariakoo,
Lakini Huwa anafuata mzigo Tegeta anaenda kuuzia Kariakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…