House4Sale Nyumba inauzwa kariakoo

House4Sale Nyumba inauzwa kariakoo

MkamaShapu

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
317
Reaction score
169
Kama inavyojieleza hapo juu....

Nyumba ipo maeneo ya kariakoo mtaa wa magila karibu Emelly hotel....
Inafaa kwa ujenzi wa hotel na fremu za maduka!!!

Bei ni 1.1b mazungumzo yapo!!!!

Namba ya simu....0717 76 78 75

IMG_2313.JPG
IMG_2316.JPG
IMG_2322.JPG
 
Kinachouzwa bil ni hilo banda au ghorofa hiyo? Kama hilo banda amka usingizini hiyo bei unaota
 
Mkuu unauza kiwanja au nyumba? Kiwanja sawa hizo ndio bei za huko ila nyumba nafikiri ungeichukua tu uende nayo maana hata bure haichikuliki au ni hilo gorofa la nyuma?
 
Siku zinaenda kasi sana, hyo bei ya 1.1b kwa kariakoo ya kipindi kile cha jk ni ndogo sana! Bei hapo ilikuwaga bilion 2 mpaka bilion 3, leo imshuka hivyo? Poleni
Yaaaan sijui waliwaza nini mpaka sasa Mkuuu. Hao ndio wale kutaka waje kipata Bilion 5 sasa yamewakuta ya Mil 700
 
Back
Top Bottom