MkamaShapu
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 317
- 169
Mlikuwa wapi muda wote hadi Leo.mambo yote DodomaKama inavyojieleza hapo juu....
Nyumba ipo maeneo ya kariakoo mtaa wa magila karibu Emelly hotel....
Inafaa kwa ujenzi wa hotel na fremu za maduka!!!
Bei ni 1.1b mazungumzo yapo!!!!
Namba ya simu....0717 76 78 75
View attachment 826086View attachment 826087View attachment 826088
Mlikuwa wapi muda wote hadi Leo.mambo yote Dodoma
Muuzie mwenye Hotel afanye ParkingHaahahaaa!!!... Sawa ndugu
Walikuwa wanaivundika kwanza. Ndio ivo sasa mambo yameshabadilika... Hapo hata wakipata milioni mia saba, wakatambike!Mlikuwa wapi muda wote hadi Leo.mambo yote Dodoma
Zamani shilling mia tano ilikuwa inaitwa jero.Leo inaitwa mia tano.sasa bilioni mtaisikia redioniKinachouzwa bil ni hilo banda au ghorofa hiyo? Kama hilo banda amka usingizini hiyo bei unaota
Yaaaan sijui waliwaza nini mpaka sasa Mkuuu. Hao ndio wale kutaka waje kipata Bilion 5 sasa yamewakuta ya Mil 700Siku zinaenda kasi sana, hyo bei ya 1.1b kwa kariakoo ya kipindi kile cha jk ni ndogo sana! Bei hapo ilikuwaga bilion 2 mpaka bilion 3, leo imshuka hivyo? Poleni