House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha Mjini Maili Moja kwa mkuu wa Mkoa

House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha Mjini Maili Moja kwa mkuu wa Mkoa

Beah

Senior Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
127
Reaction score
76
Nyumba inauzwa kibaha mailimoja karibu na kwa mkuu wa mkoa nyumba ina hati ina ukubwa wa eneo la 400 sqmtrs (20×20) bei 35,000,000/= (milioni 35) mazungumzo yapo haina udalali mimi ndio mmiliki kwa mawasiliano 0765882717

received_1849724835112812.jpeg


received_1066728566841052.jpeg


received_450100568732171.jpeg
 
Wasiwasi wangu barabara ikipanuliwa hapa sitamegwa kama nimenunua?
 
Hii nyumba ilianza kutangazwa tangu january... naijua hiyo mitaa.
Mkuu nilisafiri kwa hiyo sikuweza kupata mtu wa kumuachia kusimamia mauziano ndio maana imechukua muda kidogo.
 
Hii nyumba haikuuzwa tuu?
Bado sikuwa nchini kwa muda kidogo nimerudi sasa ndio naisimamia mwenyewe sikutaka kumuachia dalali wala mtu yoyote asimamie.
 
Back
Top Bottom