Nyumba inauzwa Kinondoni Biafra

Nyumba inauzwa Kinondoni Biafra

DavidNgemela

Member
Joined
May 24, 2014
Posts
6
Reaction score
2
Zipo mbili kwenye Compound moja, Nyumba kubwa na Ndogo. Kubwa ina vyumba Vinne,chumba kimoja Self, indoor Toilet, Store, na Vyumba vitatu na Ndogo ina vyumba viwili pamoja na Choo.


Ina uwanja mkubwa sana wa kutosha kwa ajili ya parking na Ina nyaraka zote muhimu zinazohitajika.

Nyumba ni nzuri sana ukizingatia na mtaa ilipo.
Maji yapo na ina kisima pamoja na pump ili maji yapatikane masaa 24, umeme upo... kila kitu sawa.

Nyumba ni ya kisasa ipo kwenye hali nzuri ni karibu na barabara kuu. Inafaa kwa matumizi ya Nyumbani na Biashara. Ilikua inapangishwa kwa mwezi laki 6.

Inauzwa Shiling Milioni 600, mazungumzo yapo.

Kama nahitaji piga hii namba, 0655195348
 
Back
Top Bottom