Nyumba inauzwa Kitunda Mnadani karibu na sheri, bei ni TSh. Milioni 35

Nyumba inauzwa Kitunda Mnadani karibu na sheri, bei ni TSh. Milioni 35

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
857
Reaction score
1,810
Inavyumba 6

Eneo la parking lipo kubwa limebaki mbele

Nyuma kuna uwanja wa kujenga hata vyumba 3 vya kulala

Nyumba inawapangaji nyumba iko kwenye barabara ya mtaa gari inafika

Haina mgogoro eneo limepimwa hati haijatoka bado karibu 0743 257 669 nipigie
 
Kama unataka kuifanya iwegest hapo utapiga helasana maana kuna bar nying jilan mitaa ile hata ukiamua iwe nyumbaya makazi bado itafaa
 
Screenshot_20250320-072849_WhatsAppBusiness.jpg
 
Back
Top Bottom