ipo kitunda mnadani nyumba iko barabarani nyumba ina vyumba sita ina eneo kubwa limebaki la kuongeza vyumba au parking ukitaka kuweka fensi inakaa vzr kuwa gest maaana ipo barabarani kabisa na kuna mnada jilan na jilan na bar kama 3 tofauti nyumba inauzwa 40