leonard ngobole
Member
- Jun 11, 2011
- 83
- 49
Kawaida ila kwa namna moja au nyingine hutoa funzo kwa wadaiwa hasa kwa wale wanaokopa na wakashindwa kutumia vizuri mikopo yao katika udharishaji
😛😛😛Dah msinikumbushe maana hapa jamaa wa bank wanapiga simu kweli kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
mdaiwa alikuwa anadaiwa kiasi gani?Kawaida ila kwa namna moja au nyingine hutoa funzo kwa wadaiwa hasa kwa wale wanaokopa na wakashindwa kutumia vizuri mikopo yao katika udharishaji
Naijua hii nyumba iko mitaa ya salama star ....aise akatayeipata atakuwa ameokota dodo kwenye mti wa mwarobaini
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
UzalishajiKawaida ila kwa namna moja au nyingine hutoa funzo kwa wadaiwa hasa kwa wale wanaokopa na wakashindwa kutumia vizuri mikopo yao katika udharishaji
700millionimdaiwa alikuwa anadaiwa kiasi gani?
Asante
hata wewe boss waweza okota dodo kwenye mti wa mwarobainiNaijua hii nyumba iko mitaa ya salama star ....aise akatayeipata atakuwa ameokota dodo kwenye mti wa mwarobaini
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba mpunga mpungahata wewe boss waweza okota dodo kwenye mti wa mwarobaini
Kuna uzi humu ulibandikwa na mtu mmoja akilalamika kuporwa KOROSHO zake; ilikua hivi, huyu mtu (nadhani alikua dada) alikopeshwa na mstaafu mmoja aliyechukua mafao yake (hope kabla ya kikokoktoo kipya kilicho simamishwa) kama Tsh 10M, huyu mkopaji nae alikwenda kwenye KOROSHOW cause one of his/her friend alifanya hiyo biashara mwaka jana na ikamtoa so akaona na yeye akajaribu bahati yake but ndio hivyo sasa, koroshow zake zimenyang'anywa na wenyewe hadi aoneshe SHAMBA, so kabla hujafikiria kwamba watu wanatumia mikopo vibaya, fikiria pia aina ya biashara za namna hiyo. Habari nyingine ambayo mwaka juzi katikati ilifirisi watu ni ile ya viroba/viloba, mwanzoni biashara ile ilikua HALALI kabisa kisheria, tamko la waziri mkuu lilipiga marufu biashara ile na walitoa muda Fulani, mfikirie yule TAJIRI wa Dodoma aliyekua na stock ya zaidi ya Bilioni hadi akaona njia pekee ya kujitendea HAKI ni yeye kujiua, so ndio hivyo.Kawaida ila kwa namna moja au nyingine hutoa funzo kwa wadaiwa hasa kwa wale wanaokopa na wakashindwa kutumia vizuri mikopo yao katika udharishaji
Nyumba ni ya gorofa, ina jumla ya vyumba vitano, juu kipo chumba kimoja ambacho ni master,,, na chini vipo vinne na kati ya hivyo vinne vilivyopo chini viwili ni master....Karibu sana mkuuMaelezo yako rekebisha mkuu.
Nyumba ina vyumba 5, vinne juu kimoja chini alafu unasema vyumba 2 vya chini ni self!!
Tuwasilliane kupitia namba 0753858259 kwa maongezi zaidi.....