leonard ngobole
Member
- Jun 11, 2011
- 83
- 49
- Thread starter
- #21
Au kama hutojali waweza nipa namba yako ya simu nikutafute tuongeeTuwasilliane kupitia namba 0753858259 kwa maongezi zaidi.....
Au kama hutojali waweza nipa namba yako ya simu nikutafute tuongeeTuwasilliane kupitia namba 0753858259 kwa maongezi zaidi.....
Okay,ntakutafuta mkuuAu kama hutojali waweza nipa namba yako ya simu nikutafute tuongee
karibuni wadau tarehe 11 mwezi huuNimehisi kama naijua pia
Karibu sana kiongozi
Mbona unatuchanganya Mkuu? Umesema nyumba ina vyumba 4 vya juu na kimoja cha chini, halafu unasema tena Vyumba viwili vya chini ni Master, hebu kua serious aisee!Kwa idhini tuliyopewa na International bank tutakwenda kuuza nyumba ya mdaiwa wao iliyopo kinondoni nyuma ya BEST BITE siku ya tarehe 11/1/2019 mnamo saa nne kamili asubuhi.
SIFA ZA NYUMBA
-Nyumba in hati miliki namba 186158/104 kiwanja namba 128 kitalu namba 41
-Nyumba ni ya gorofa moja
-Ina vyumba vitano, vinne juu, kimoja chini (vyumba viwili vya chini ni master, na kimoja cha juu ni master)
- Nyumba ina Sitting room, dinning room, Store, parking, kitchen
- Nyumba ina ukubwa wa kiwanja 520 s/m
Kumbuka: Mnada wa hadhara maana yake wewe mteja ndio mpangaji wa bei, hivyo wote mnakaribishwa. Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba zifuatazo: 0753858259, 0658083460, 0759783366 (RECOVERY OFFICER - Tambaza auction mart and general broker
Badaye nkipita toroka uje blok hpo ntakuja kufurahisha machoAu kama hutojali waweza nipa namba yako ya simu nikutafute tuongee
Mkuu duh hyo nyumba naijua mmiliki alikuwa dem mdg ana miaka 36 alifariki si shombeshombe nyumba si iko mtaa wa sidok
karibuni wadau tarehe 11 mwezi huu
Nyumba nzuri lakini 700m sio mchezo karibia 1b.700millioni
Hiyo Milioni 400 mkuu bora ukajenge yako maana hizi nyumba za kununua zinaweza zikawa na mazindiko usiku unalala unaota unapigwa dyudyu na mizimu aiseee
Kwa jinsi vyuma vilivyokaza nitashangaa kama itapata mteja wa shilingi 300 millions.
Mwenye mjengo ashavutaUnaweza kukuta anazo kama 10 kwahiyo hata presha haimpandi..
-Nyumba ni ya gorofa mojaKwa idhini tuliyopewa na International bank tutakwenda kuuza nyumba ya mdaiwa wao iliyopo kinondoni nyuma ya BEST BITE siku ya tarehe 11/1/2019 mnamo saa nne kamili asubuhi.
SIFA ZA NYUMBA
-Nyumba in hati miliki namba 186158/104 kiwanja namba 128 kitalu namba 41
-Nyumba ni ya gorofa moja
-Ina vyumba vitano, vinne juu, kimoja chini (vyumba viwili vya chini ni master, na kimoja cha juu ni master)
- Nyumba ina Sitting room, dinning room, Store, parking, kitchen
- Nyumba ina ukubwa wa kiwanja 520 s/m
Kumbuka: Mnada wa hadhara maana yake wewe mteja ndio mpangaji wa bei, hivyo wote mnakaribishwa. Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba zifuatazo: 0753858259, 0658083460, 0759783366 (RECOVERY OFFICER - Tambaza auction mart and general broker
Sio rahisi kupata mtu kwa bei hiyo, labda 200m, tatizo la mikopo nï riba utakuta kwenye 700m yeye alichukua 400m,Kwa jinsi vyuma vilivyokaza nitashangaa kama itapata mteja wa shilingi 300 millions.