NYUMBA INAUZWA KWA MNADA WA HADHARA

Mbona unatuchanganya Mkuu? Umesema nyumba ina vyumba 4 vya juu na kimoja cha chini, halafu unasema tena Vyumba viwili vya chini ni Master, hebu kua serious aisee!
 
Unaweza kukuta anazo kama 10 kwahiyo hata presha haimpandi..
 
Anadaiwa shilingi ngapi?
 
k

karibuni wadau tarehe 11 mwezi huu
Mkuu duh hyo nyumba naijua mmiliki alikuwa dem mdg ana miaka 36 alifariki si shombeshombe nyumba si iko mtaa wa sido
Hyo mdada alifariki kwa sababu ya strss inasmekana maana alikuwa na madeni sana!
Jina lake Linanzia na f ......
Mnada huo sahv utakuwa wa 3 kama skosei
Basi mm nlijua nyumba ndg wameirudisha kumbe bado aluta continua

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
-Nyumba ni ya gorofa moja
-Ina vyumba VITANO, VINNE JUU, KIMOJA CHINI (VYUMBA VIWILI VYA CHINI ni master, na kimoja cha juu ni master)


Rekebisha hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa jinsi vyuma vilivyokaza nitashangaa kama itapata mteja wa shilingi 300 millions.
Sio rahisi kupata mtu kwa bei hiyo, labda 200m, tatizo la mikopo nï riba utakuta kwenye 700m yeye alichukua 400m,
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…