NYUMBA INAUZWA KWA MNADA WA HADHARA

Ayseee!! stress za anguko la uchumi ni mbaya zaidi kuliko hata stress za kutorokwa na mke

Sent using Jamii Forums mobile app
Ah story ndefu Ila mambo mengine huwezi funguka humu!
Ila mkopo +mikasa mingine ilichangia
Kabla hajaichukua hyo nyumba hyo dada f...
Mwanzoni ilikuwa inamilikiwa na mzee mmoja blok41 hapo anaitwa mzee mihungua
Ndy dada hyo alimvuaa akaipandisha
Dada mwenyewe alikuwa na miaka 37_38 tu
Mikopo aise ni soooo.....
Nashangaa wakina Manji wanadaiwa mabilion lkn wanadunda tu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…