spray
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 277
- 241
Nyumba inauzwa eneo la Luguruni, ni maeneo ya karibu na majengo mapya ya manispaa mpya ya ubungo Sasa opposite, Vyumba vya kulala vinne
Ukubwa wa eneo ni robo ekari
Nyumba ni mpyampya
Pazuri Sana pametulia, Majirani nao wametulia
Bei 170 mil, maongezi yapo
KARIBU
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukubwa wa eneo ni robo ekari
Nyumba ni mpyampya
Pazuri Sana pametulia, Majirani nao wametulia
Bei 170 mil, maongezi yapo
KARIBU
Sent using Jamii Forums mobile app