konkudeshu
Member
- Oct 16, 2022
- 88
- 73
Ni sahihi kila mtu ale urefu wa kamba yake.. Eneo ni la mirathi Document zilizopo ni leseni ya makazi.Mnauza mgawane Kila mbuzi ale urefu wa kamba yake.
Eneo Lina hati?
Ni kweli, lakini ukishapata mzigo una jua akili ya mtu vile atavo waza ndivyo ivyo hivyo atakavyo fanyaAisee! Basi sawa. Muhimu tu mkipata mzigo, basi mjitahidi kufanyia vitu vya msingi ili kumuenzi marehemu.
Nime weka video uone mazingira yote ya nyumba.Picha za nyumba sasa mzeebaba tukuletee wawekezaji
Sorry ni Nelson Mandela roadMwambaaa
Nyerere road au Mandela road?
Au ni barabara ya ndani ndani imepewa hilo jina?