freelancer2302
Member
- May 29, 2014
- 83
- 23
Nyumba ya vyumba vinne inauzwa maeneo ya kujitonyama , eneo lina 1000mita za mraba. Ila nyumba imechukua mita za mraba 600. Mazingira ni mazuri pia iko karibu na Mesuma hotel. Ina vyumba vitano na vyoo na bafu viwili. Pia ina store ya nje. Vilevile nyumba hii ina parking capacity ya magari zaidi ya manne. Ina garden ya majani nzuri. Iko fenced na vilevile ina hati miliki. Bei ni 250M.