Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Hahaaaa loh!!Mbona Kama imeshaanza kuzama,na mbona Kama pana chemchem
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa loh!!Mbona Kama imeshaanza kuzama,na mbona Kama pana chemchem
Mkuu elewa tu kua mtu mwenye uwezo wa kutoa 250M hawezi kukashifu hiyo sehemu na wala hawezi kusema mambo ya kipumbavu au kukashifu, jua kila sehemu wapumbavu wapo! Mtu anaweza kusema ni gofu kumbe hata nauli anaomba! Hana hata jelo mfukoni kula kwa manati akisikia 250 anasikia mharo unamtoka ukichanganya na bangi na value basi anaona maruerue kama gofu! Umasikini mbaya sana! Mtu anaejua maeneo ya kijitonyama,mwenge,makumbusho, sinza ndo bei japo naamini maongezi yapo! Biashara njema mkuu ila usibishane na makapuku!Haya mbona mnaondoka kwenye mada....kama unaitaka nyumba tuwasiliane. Mnapoteza nguvu sana kwenye kukashifu, ungezihifadhi nguvu for getting money to buy for that of chanika
Nimeona wewe ndg yangu nikaona poa tuKwanini haujaanzisha uzi wako?
Nimeona wewe ndg yangu nikaona poa tu
Well said.Mkuu elewa tu kua mtu mwenye uwezo wa kutoa 250M hawezi kukashifu hiyo sehemu na wala hawezi kusema mambo ya kipumbavu au kukashifu, jua kila sehemu wapumbavu wapo! Mtu anaweza kusema ni gofu kumbe hata nauli anaomba! Hana hata jelo mfukoni kula kwa manati akisikia 250 anasikia mharo unamtoka ukichanganya na bangi na value basi anaona maruerue kama gofu! Umasikini mbaya sana! Mtu anaejua maeneo ya kijitonyama,mwenge,makumbusho, sinza ndo bei japo naamini maongezi yapo! Biashara njema mkuu ila usibishane na makapuku!
Basi nisamehe Niko chini ya miguu yakoKwani uzi huu nimeanzisha mimi?
Kwa Kijitonyama hio bei nzuri sana sana, watu wanajitia tu ujuaji. Hii bei ni poa sana sana.Mkuu elewa tu kua mtu mwenye uwezo wa kutoa 250M hawezi kukashifu hiyo sehemu na wala hawezi kusema mambo ya kipumbavu au kukashifu, jua kila sehemu wapumbavu wapo! Mtu anaweza kusema ni gofu kumbe hata nauli anaomba! Hana hata jelo mfukoni kula kwa manati akisikia 250 anasikia mharo unamtoka ukichanganya na bangi na value basi anaona maruerue kama gofu! Umasikini mbaya sana! Mtu anaejua maeneo ya kijitonyama,mwenge,makumbusho, sinza ndo bei japo naamini maongezi yapo! Biashara njema mkuu ila usibishane na makapuku!
Kweli mkuu k/nyama ni town chumba tu cha 30,000 hupatiKwa Kijitonyama hio bei nzuri sana sana, watu wanajitia tu ujuaji. Hii bei ni poa sana sana.
Wandugu pungezeni maneno yasio na tija, zingatia thamani ya nyumba pia ni eneo iliopo, maeneo hayo hata ukikuta kiwanja kitupu huwezi kupata chini ya 170M, sasa kwa bei hiyo ni ya kawaida sana, ni vizur kwanza kujuwa thamani ya eneo husika na sio sababu umeweza kupata kipande cha ardhi majohe kwa 2M, ndio ulinganishe na sehemu ambayo inayotambulika ki mipango miji.Hakuna nyumba hapo ya 250M,nyumba paa liko chini sana,labda ununue uvunje,so unakua unanunua kiwanja,na kiwanja kwa 250M kwa kijitonyama hailipi